BROWSE OVER THE INTERNET SAFELY

Secure Computing

AARSC conducts researches on communications and computing security technologies; some of the research findings are shared to the public in form of training, consultancy, publications on journals and magazines. Making use of our highly qualified experts, the company also conducts penetration testing using state of the art Artificial Intelligence tools. We pen test web applications, computer software, mobile apps and communications infrastructures.

Secure Computing

Understand how to be free from Code and Malware injections. AARSC LTD provides the best knowledge base for that.

Technology Trends

AARSC conducts researches on security computing technologies.

Industry Experts

Making use of a team of qualified and experienced Tanzanians,

We deliver 100% and provide instant response to help them succeed in constantly changing and challenging business world.

Namna Mawasiliano ya GSM yanavyoingiliwa kupitia WiFi

Pamoja na faida tunayopata kupitia huduma za WiFi, tekinolojia hiyo inaweza kutumika kuingilia mawasiliano ya simu hasa kama simu yako imejiunga kwenye Access Points ambazo ama zimeandaliwa na hackers au zimedukuliwa na kisha kuzifanya ziingilie simu.
Kufanikiwa kwa hackers kunasa mawasiliano yako kutawezekana endapo simu yako ina madhaifu yanayowezesha upandikizaji wa App ziliwekewa trojans. Clip hii inaonesha namna ambavyo #Trojan horses wanaweza kupandikizwa kisha kufanikiwa kuiba taarifa za kidukuzi.

DarkWeb Seminar:

Unawezaje Kupata Bidhaa/Hacking Tools?

Baada ya kufanya configurations zote, sasa unaelekezwa namna ya kutembelea dark markets. Kitu cha kuzingatia ni kujua dark market vendors wazuri na wenye bei nzuri. Mauziano hufanyika kwa crypto currencies.

Kama mtafiti (for that matter, a hacker) unashauriwa kuingia kwenye darknet mara kwa mara kutafuta nyenzo ambazo pengine zimevujishwa (leaked) au taarifa za kidukuzi. Video hii imeanika vendors kadhaa ambao wanaweza kutumika.

Namna Websites Zinavyoingiliwa: Tambua ili Ujikinge

Hili ni moja ya masomo tutakayotoa katika workshop ya tarehe 02/08/2019 kuanzia saa tatu asubuhi hadi kumi na moja jioni. Pamoja na masomo mengine tuaelekezwa mbinu za mawasiliano salama, na pia kuhusu cryptocurrencies na blockchain technology.

Namna Wahalifu wanavyoweza Kuingilia GSM Network

Video hii ni sehemu ya somo kuhusu namna ya kukagua udhaifu katika mifumo ya GSM. Kwa namna mitandao hii ilivyoandaliwa, ni rahisi sana kwa hackers kunasa mawasiliano na kuyachezea. Lengo la somo hili ni kusaidia katika kuimarisha usalama wa mitandao ya #GSM hivyo kutunza siri za watumiaji

LATEST UPDATES

Case Studies

blank image

Course Code : GSM 01

GSM network security Auditing

The course will analyze the GSM security architecture and test...

Details
blank image

GSM HACKING

Main Objective & Specific Objectives

The main objective of this research is to propose a...

Details
blank image

Course Code : HackOS 01

Analysis of Ethical Hacking Tools and Platforms

We train and analyze the performance of various Penetration Testing...

Details